Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Amina Masenza akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano NMB Bank Shy-Rose Bhanji wakati wa uzinduzi wa klabu ya wafanyabiashara wadogo na wakubwa mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Amina Masenza akizindua rasmi klabu ya wafanyabiashara mkoani Shinyanga.
Picha na Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment