Pages

September 7, 2011

Nizar Khalfan amkabidhi jezi JK


Nizar Khalfan anaecheza Soko la Kulipwa katika timu ya White Caps ya Jijini Vancour Canada akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete jezi ya timu anayoichezea wakati alipokwenda kumsalimu na Kumshukuru Rais Ikulu Jijini Dar Es Salaam.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment