Pages

September 9, 2011

Darasa letu katika karne ya 21 na miaka 50 ya kujitawala



Tafakari na Mjengwa
- Hiyo ni shule ya msingi katika Tanzania yetu ya leo.
- Huyo ni  mwanafunzi anayeingia darasani na mbele ni walimu wa shule wanaoingia darasani kufundisha.
- Hao ni wanafunzi darasani
- Na shule ina tundu moja la choo.
Ni miaka 50 baada ya Uhuru wetu. Tafakari.


No comments:

Post a Comment