Ni saa 5:40 usiku ninapopost thread hii, mpaka sasa hatujasikia chochote toka huko Dodoma ambako CC ya CCM inakutana katikati ya msamiati unaovuma sana kwa sasa wa "KUJIVUA GAMBA", wengi wanatarajia kuona labda magamba zaidi yanavuliwa ama kwa hiari au kwa lazima, je kikao hiki kitakidhi matarajio hayo? hakuna hajuaye, muda pekee ndio utasema.
No comments:
Post a Comment