Pages

July 28, 2011

Ati wabunge wapimwe akili!!!!!!

Wabunge Mch Simon Msigwa, Godbless Lema na Tundu Lissu  (CHADEMA) wakisindikizwa nje ya ukumbi wa bunge na askari wa bunge mara baada ya kuamriwa na Naibu Spika Job Ndugai kwa madai ya utovu wa nidhamu. anayewasindikiza ni John Mnyika.


Akiharisha kikao jioni ya leo Mwenyekiti Jennister Mhagama alisema amepokea mwongozo wa spika toka kwa Job Lusinde akitaka waletwe madaktari wa akili ili kupima wabunge kwa madai kuwa yanayotendeka sasa ndani ya bunge si ya kawaida.  
Wadau hii imekaakaaje?

1 comment:

  1. Spika naye atapimwa akili?

    Mungu ibariki Tanzania!

    ReplyDelete