Pages

July 12, 2011

Dada zetu mwataka nini???

Kuna msemo usemao kuwa ukistaajabu ya musa utaona ya filauni, nimeamini, katika post moja hapo chini "sababu hii pekee au zaidi?" nilihoji sababu za kina dada kutopenda kuvaa kanguo kadogo na kupenda ama kufanya makusudi ili mtu mwingine ajue kuwa hanako kanguo kadogo,

Hapo juu hiyo picha ni halisi imefanyiwa ufundi ktk photoshop ionekane ya kuchora, mdada anaoneka ni mcheza shoo katika ukumbu fulani na bila shaka mbali na watazamaji lakini alijua kuwa kuna wapiga picha, hivyo pamoja na kuvaa nguo inayoonekana ni ndefu lakini alihakikisha havai kanguo kadogo na watu wengine wapate salam, kaanika utupu wake hadharani, hana chembe ya aibu wala woga.


Dada zetu mwatupeleka wapi, ni nini mwataka hasa?

No comments:

Post a Comment