Ujumbe mzito wa kampuni ya General Electric toka Marekani ukiongozwa na Makamu wake wa Rais John Rice ukiongea na Waziri wa Nishati na madini William Ngeleja ofisini kwa waziri jana.
General Electric kampuni ya tatu kwa ukubwa duniani kwa mujibu wa jarida la Forbes imeonesha nia kuwekeza nchini katika nyanja mbalimbali.
Muda ukifika tutajualishwa zaidi.
Mungu ibariki Tanzania.
No comments:
Post a Comment