Pages

May 25, 2011

Fashion hizi! Underwear inapokuwa topwear

Mdada huyu alipata wakati mgumu kukatiza mitaa ya Iringa na kulazimika kupata hifadhi duka la vipuri baada ya wananchi kumzonga na kumzomea kutokana na kinachodaiwa kuvaa nguo ya ndani nje.

Leo hii ametishia kuwapeleka mahakamani wananchi na blog iliyolipoti tukio hilo na kuweka picha zake kwamba eti wamemdhalilisha.

Zaidi mtembeleee mdau Francis Godwin 

1 comment:

  1. Anonymous6:24 PM GMT+3

    hakuna lolote alijificha nini kama hakufanya makusudi tu kuvaa vile, bora kapata elimu ya bure, ninaimani hawezi kurudia tena.

    ReplyDelete