Pages

April 1, 2011

TANZIA - Adam Lusekelo is NO MORE!

Taarifa zilizotufikia punde na kuthibitishwa na baadhi ya wafanyakazi wenzie TSN ni kuwa Mwandishi Gwiji Adam Lusekelo hatunaye tena, 

Lusekelo Mwandishi wa siku nyingi akiwa na column yake maarufu iliyokuwa ikitoka Daily News na Sunday News "With a Light Touch" amefariki dunia usiku kuamkia leo katika Hospital ya Hindu Mandal, 

Taratibu za mazishi zinafanywa nyumbani kwake Ubungo karibu na kanisa la Ufufuo na Uzima. 



Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema Peponi,


Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe. Amen

2 comments: