Pages

April 1, 2011

NOTI MPYA VS ZA ZAMANI NANI ZAIDI?

 Noti mpya ndo ipi hapa??
Thamani ni moja mtazamo tofauti, sijui ni kwanini tumebadilisha pesa! ni mwezi wanne sasa toka kuingizwa kwa noti mpya lakini hakuna mpango wa kuziondoa zile za zamani kwa tangazo la BOT linalotoka kila mara magazetini ni kuwa noti za zamani na mpya zatumika sambamba, mpaka lini? mi sijui. 

Je hatuwezi kuingia kwenye Genius Record mwaka huu kuwa moja ya taifa lenye noti mbilimbili? angalau ingetupa sifa kiaina hivi. 

No comments:

Post a Comment