Mahakama ya Rufani Tanzania imesema kuwa haina uwezo wa kuamua kuhusu Mgombea Binafsi.
Hukumu hii iliyokuwa ikisubiriwa kwa amu na wanasiasa na watu mbalimbali imetolewa mchana huu na jopo la majaji sita likiongozwa na Jaji Mkuu Augustino Ramadhani, kwa mujibu wa taarifa iliyonukuliwa na Radio Tanzania imesema kuwa ni Bunge ndo lenye uwezo huo.
No comments:
Post a Comment