February 24, 2010
Tangazo la Mkutano Mkuu wa Watanzania wanaoishi Jimbo la Gauteng, Afrika Kusini
Tunapenda kuwatangazia watanzania wanaoishi katika miji ya Johannesburg na Pretoria kuwa kutakuwa na mkutano mkuu wa jumuia ya watanzania wanaoishi jimbo la Gauteng siku yaJumapili ya tarehe 14.03.2010.
Mkutano huu utafanyika Kempton Park Civic Centre, makutano ya barabara za CR Swart Ave na Pretoria Road, Kempton Park, Johannesburg kuanzia saa nane mchana.
Pamoja na kujadili mambo muhimu ya jumuia hii, tunatarajia kupitisha katiba na kuchagua viongozi wa jumuia.
Kuhudhuria kwako ni muhimu katika kufanikisha shughuli hii. Ukipata ujumbe huu, tunaomba usambaze taarifa ya mkutano kwa watanzania wengine unaowafahamu.
Kwa taarifa zaidi wasiliana na kamati ya maandalizi kwa barua pepe (watanzaniagp@gmail.com) au kwa simu zifuatazo: +27799965120; +27835 566966; +27791035599
Karibuni sana
Kamati ya maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Jumuia ya Watanzania Gauteng
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576
No comments:
Post a Comment