Pages

January 8, 2010

Nimealikwa harusini

Wadau ndo nimetua Jo' burg, si mwajua mzee mzima kachukua jiko jipya juzi sa tumeja kula pilau kidogo, tucheze ngoma za kizulu then turejee kwa amani.
Nitawapasheni yote yatakayojili hapa kwa siku kadhaa nitazokuwa hapa.

1 comment:

  1. ....afya na maisha marefu na mema kwako pia na kwa mwenzio......

    ReplyDelete