Pages

January 6, 2010

KENYA KAMA INDIA

Hii ni siku ampapo Matatu waliamua kugoma huko Kenya na treni kuokoa jahazi, je itakuwaje siku Daladala za Bongo zikigoma? nani ataokoa jahazi maana reli yetu ilishajifigiaga kimtindo.

No comments:

Post a Comment