Waziri wa Elimu Prof Jumanne Maghembe akiweka shada maua.
Mmoja wa wafiwa akisaidiwa mara baada ya kushuhudia mazishi ya mwanae
Mbunge wa Isimani ambako ndiko iliko shule ya Idodi na Mkuu wa Mkoa wa Dar William Lukuvi akiweka shada.
Familia ikiomba mbele ya kabuli la pamoja.
Picha kwa hisani ya mdau Francis Godwin
Wapumzike kwa amani milele amina. inasikitisha sana ni pigo kubwa sana pole wafiwa wote.
ReplyDelete