Pages

July 3, 2009

Wapenda senene MPOOOOOO??

Bila shaka wapo ambao kwa kuona picha tu udenda wawadondoka hapo walipo, msihofu tembeleeni sabasaba kule karibu na banda la Heineken kwa wajasiliamali mjipatie kitu roho inapenda.

3 comments:

  1. Eeeh ! ni vibaya kutamanisha kiasi hiki.Hivi hapa nina tonge la ugali mkononi, kaaazi kwelikwelii

    ReplyDelete
  2. Uwiiiiiiiiiiiii!! Maweeeeeeeeeeeeeeeeee!! Owaishe, tuliwo.

    ReplyDelete