Pages

July 6, 2009

Ni CHADEMA AU CCM Biharamulo?

Mgombea wa CCM Oscar Mukasa akipiga kura.
Matokeo ya awali ya uchaguzi mdogo wa Biharamulo yanaonesha mchuano mkali sana kati ya CCM na CHADEMA kiasi cha kushindwa hata kubashiri ni nani ataibuka kidedea,
matokeo rasmi yanatarajiwa kutolewa baadaye leo hii.

1 comment: