Askari wakishika zamu baada ya wazee wa kazi kuingia na kuchukua chao mapema leo hii
Baadhi ya wafanyakazi viatu havivaliki na hawaamini macho yao ka wamepona
Jamaa walikuwa na "VIAZI" gururneti kibao walipiga kama vitatu ambavyo vilisababisha maafa na vingine yaonesha vilikataa kazi ka ichi.
Ni kusalimisha roho tu.
Hapa kaunta yasemekana ndipo kilipigwa kimoja hali halisi yaonesha.
Mhhh.
Majambazi yapatayo saba hivi yakiwa na mabomu ya kutupa kwa mkono na kutumia magari yaliyokuwa na pleti namba za SU na STH leo hii asubui walivamia na kupora kiasi cha Sh million 150 ktk Benki ya NMB tawi la Temeke baada ya kumuua vibaya (kwa bomu) mmoja ya walinzi wa benki hiyo toka Kampuni ya Moku Seif Mkikwe (50)
Habari ndo hiyo.
1 comment:
Duuu poleni sana huko Dar kila siku matukio ya kutisha cjui kamanda Kova umecheki hali hiyo unalo jipya la kusema juu ya ulinzi shirikishi?
Post a Comment