Pages

July 20, 2009

Jehovah Yu Hai yazinduliwa rasmi

Gospel Singer, John Lisu akiimba wakati wa uzinduzi wa albam yake ya Jehovah yu Hai. Uzinduzi wa ablam hiyo ambao ulifanyika juzi usiku katika ukumbi wa Blue Pearl Hotel, Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, ulidhaminiwa nakampuni ya simu za mkononi ya Zain.

No comments:

Post a Comment