Pages

July 20, 2009

Happy B/DAY Madiba na Bongo Pix

Wadau leo ni siku ya kuzaliwa ya Bongo Pix na jana ilikuwa ya Mzee Mzima Madiba aka Nelson Mandela.
Bongo Pix inamtakia Mzee Madiba Happy Birth Day na pia mi mwenyewe Mungu anipe maisha marefu na busara ka ya Mzee huyu.

No comments:

Post a Comment