Pages

June 19, 2009

Walipa kiasi gana kwa DAKTARI BINGWA WAKO??

Hivi Daktari Bingwa ndo wale wanaoitwa SPESHALISTI? je waweza bashiri hii ni wapi ambapo walipa buku tu kumwona mtaalamu?

3 comments:

  1. Ee Bwana wapi hapa daktari bingwa Buku?

    ReplyDelete
  2. Hapo kazi ipo basi walala hoi tutakufa na magonjwa yetu

    ReplyDelete
  3. Anonymous1:09 AM GMT+3

    hapo kwa mganga wa kienyeji, bishaa!

    ReplyDelete