Ushuru mashirika ya Dini -Serikali yakubali yaishe
Wiki moja tu baada ya serikali kutangaza kuanza kutoza ushuru kwa mashirika ya Dini wakti ikiwasilisha bajeti ya Mwaka 2009/10 Waziri Mkuu Mtoto wa Mkulima Mizengo Pinda ametangaza kufuta ushuru huo na kurejea kama mwanzo.
safi sana kumbe mara nyingine Mungu anasikia maombi ya watu.
ReplyDeleteWALIGUSA PABAYA MAANA INGEKUWA KASHESHE, NAONA AMA WALIKUWA WANATINGISHA KIBERITI AU WAMESOMA ALAMA ZA NYAKATI NA KUONA MHH HILI SOOOOO.
ReplyDeleteBUT SOME TIME SERIKALI NAYO UWA YASIKIA ATI.
MDAU