Pages

June 1, 2009

SUMATRA yatunishia misuli daladala 15

Katika kudhibiti vitendo vya uvunjwaji wa Sheria na masharti ya leseni za usafirishaji abiria unaofanywa na baadhi ya wamiliki, madereva na makondakta wa mabasi ya Daladala, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imechukua hatua ya kuyasimamisha kwa muda mabasi kadhaa kutoa huduma ya usafirishaji abiria katika Jiji la Dar es Salaam kwa kipindi cha siku 15 kuanzia tarehe 22 Juni, 2009.

 

Mabasi hayo yamesimamishwa kwa makosa mbalimbali yakiwemo, kukata na kuiba njia/ruti walizopangiwa kwa mujibu wa leseni yao ya usafirishaji.

NA

NA. YA GARI

 

RUTI

KOSA

MMILIKI

1

T647 AVN

ISUZU JOURNEY

 

MBEZI – KARIAKOO         

KUKATA RUTI Manzese 07.30

MOHAMED M.

BOX 162 MORO

2

T300 AYF

T/COASTER

 

MWENGE – POSTA           

KUKATA RUTI Ajentina 07.25

SAID S. ABDALAH

BOX 3305 ZNZ

3

T377 ASZ

ISUZU JOURNEY

 

KIMARA – KIVUKONI      

KUKATA RUTI Ajentina 07.34

MWINYI A. ZUBERI BOX 90003 DSM

4

T250 AWJ

NISSAN CIVIL.

 

UBUNGO – POSTA          

KUKATA RUTI Ajentina 08.36

 

R.L. MDUMUKA

BOX 60507 DSM

5

T251 ADU

T/COASTER

 

MWENGE – KARIAKOO    

KUKATA RUTI Mapipa 09:00

 

JAMILA S. MOHAMED

BOX  DSM

6

T699 ACT

TOYOTA DCM

 

G/MBOTO – POSTA      

KUKATA RUTI

Banana 06:45

YAHYA SAIDI

BOX 21869 DSM

7

T219 AAH

TOYOTA DCM

 

MB/RANGI3 –MWENGE      

KUKATA RUTI

Boma  09:30

M.H. KINABO

BOX 75341 DSM

8

T856 AJN

TOYOTA DCM

 

MB/RANGI3 –MWENGE     

KUIBA RUTI

Magomeni 09:30

EZEKIEL N. GACHA BOX 815 SHINYANGA

9

T582 AGK

TOYOTA HIACE

 

M/MBUSHO – B/MOYO    

KUIBA RUTI

Kawawa Rd. 07:30

FABIAN J. KAIZA

BOX 9884 DSM

10

T146 ABW

TOYOTA HIACE

 

BUGURUNI-MACHIMBO

 

KUIBA RUTI

Boma  17:15

HUSSEIN A. JAMBIA BOX   DSM

11

T482 ALW

TOYOTA HIACE

 

T/KIMANGA – UBUNGO

 

KUIBA RUTI

Boma  17:25

GHARIB S. HAMIS BOX 16196 DSM

12

T343 AUW

NISSAN CARAV.

 

UBUNGO – MSATA

 

KUIBA RUTI

FIRE  09:10

AFRISTIARS KIMARO BOX 7040 DSM

13

T180 ACM

TOYOTA HIACE

 

T/SEGEREA – UBUNGO

 

KUIBA RUTI

Boma  17:30

ZAHARAN  KHALIFAN

 BOX   DSM

14

T461 AAU

TOYOTA HIACE

 

M/MTONGANI - BUGURUNI     

KUIBA RUTI

Kariakoo  18:05

SALUM NGONDA

BOX 4612  DSM

15

T908 AEM

TOYOTA HIACE

 

M/MBUSHO - TEGETA             

 

KUIBA RUTI

Sinza  14:00

AL PAN TRADERS CO. BOX 10118 DSM

  

David Mziray 

Meneja Mawasiliano kwa Umma

No comments:

Post a Comment