Pages

June 1, 2009

Milango bado migumu kwa Liyumba

Japo wengi waliweka asilimia kubwa kwa Mtuhumiwa wa majengo pacha ya BOT kutoka kwa dhamana baada ya mahakama kulegeza masharti ktk kesi hii mpya baaada ya kufutwa kwa ile ya awali lakini hali haikuwa ivyo bali Liyumba bado ataeendelea kusota sero hadi tarehe 15 mwezi huu pale uamuzi mwingine utakapo tolewa, 
Pia jalada la kesi liliitishwa mahakama kuu siku ya Ijumaa na halijarudishwa Kisutu bado baada ya kutangazwa kwa masharti mapya yaliyolegezwa kwa sana tu. 

No comments:

Post a Comment