Yaelekea ni katika ile mbuzi ula kwa urefu wa kamba yake au pengine ni katika kujiongezea kipato cha ziada pale dereva wa Shangingi hili mali ya serikali chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara kule EPZA Bw Geofrey Ernest Barweta alipoamua kupiga ka-overtime kidogo kwa kutumia mshangingi huo pamoja na wenzie watatu kwenda kupora fweza katika kituo kimoja cha mafuta na kwa bahati mbaya kwao siku hiyo (sidhani kama hii ni mara ya kwanza) gemu likabumbuluka na kutiwa mbaloni
No comments:
Post a Comment