Wakti Waziri Ngeleja akifafanua kuwa atatolea ufafanuzi wa Mgodi wa Kiwira ktk kikao cha bunge kinachoanza wiki ijayo, pia amesema kuwa Mgodi wa Geita Gold Mine GGM umeanza kulipa kodi kwa serikali ama Corporate Taxi toka mwaka 2005, ambaopo mwaka 2005 ulipata faida ya bilion 8 TSHS na kulipa kodi Bilioni 2 Tshs.
No comments:
Post a Comment