Pages

May 27, 2009

WAWEKEZAJI WETU

Mwekezaji akipeleka mzigo kwa mteja wake. Wawekezaji wakisubiri wateja.

2 comments:

  1. Dhana ya mwekezaji kwetu sisi ni mtu yoyote mwenye rangi tofauti na sisi, haijalishi kama ana uwezo wa kuwekeza au la. Huyu sisi tutamkumbatia hata kama ni mwizi au mmachinga kama huyu pichani.
    Mtanzania mwenye uwezo wa kuwekeza atapigwa vita.
    Hii ndio hali halisi.
    Mkuu endelea kutuhabarisha.
    Mdau
    Faustine

    ReplyDelete
  2. WATANZANIA tunatakiwa kutoa ile fikra kwamba mwekezaji mzuri ni yule mwenye rangi nyeupe sisi pia uwezo wa kuwekeza upo tusilale

    ReplyDelete