Pages

May 27, 2009

Kero ya Daladala BONGO sasa Bye bye

"Nimerikuta maeneo ya Ubungo likielekea Posta, yasemekana yameletwa ka 200 hivi na mengine 1000 yako njiani kutatua shida ya usafiri na kero zinazoletwa na Daladala"

4 comments:

  1. Mwanzo mzuri hofu yangu ni uwezo wa barabara zetu.

    ReplyDelete
  2. Anonymous6:03 PM GMT+3

    u almost had me

    ReplyDelete
  3. metro rapid za metropolitan area DC/MD/VA. naona faustine kaingia. hayo ni mabasi mapya ya METRO hapa marekani washington DC. angalia madhari ya hiyo picha. ni sehemu gani katika barabara ya morogoro pako hivyo. Bongo wala hakuna watu wengi kwa route ya morogoro road we need only 20 buses

    ReplyDelete
  4. kama hayo mabasi yako bongo basi, yanaonekana plastic na baada ya week mbili tu tatatupwa majalalani. unakumbuka enzi za Mzee ruska na mabasi ya shule, mbona hata hayakaa miezi 3 yote yakatupwa, hakuna spare, barabara mbovu! vipanyaaaaaaaaaaaaa hoyoooooooooooooo

    ReplyDelete