Pages

May 1, 2009

"Nakerwa na Vibajaji"

Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar Bw William Lukuvi amesema moja ya kero yake ktk jiji la "Da si Salaama" kama alivyoliita kutokana na uchafu uliokidhiri kila kona ni VIBAJAJI al Maarufu "Vich....".
Kero zingine zinazomnyima usingizi ni Uchafu, Foleni za magari zisizokwisha, Daladala NK.
Karibu sana Bongo Mh Lukuvi, hapn'shaka kero hizi utazitafutia ufumbuzi

No comments:

Post a Comment