Pages

May 1, 2009

Mabomu- waliokufa idadi yaongezeka

IDADI ya watu waliokufa katika milipuko ya mabomu iliyotokea Jumatano iliyopita kwenye kambi ya maghala ya silaha ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Mbagala Kizuiani, Dar es Salaam, imeongezeka hadi watu 19.
Hospitali ya Temeke hadi jana ilithibitisha kupokea maiti 13 raia wanaotokana na tukio hilo na kati yao tisa ni watoto ambao miili yao iliokotwa Mto Mzinga, Mbagala.

No comments:

Post a Comment