Jessica is recognized internationally as an inspirational keynote speaker. Born without arms, Jessica now flies airplanes, drives cars, and otherwise lives a normal life using her feet as others use their hands.
She holds the title of the first person without arms in the American Tae Kwon-Do Association to get a black belt and the first woman pilot in aviation history to fly with her feet. Convinced that the way we think has a greater impact on our lives than our physical constraints, she chose to pursue a degree in psychology while in college at the University of Arizona.
Defying the standards of what she calls a "two-handed" world, Jessica shares in her speeches humorous stories of struggles and success. She provides critical insight on how best to approach a challenge, redefining the concept of possibility. She helps people reconnect with their own inner strength and aptitude.
You will find Jessica's story, her accomplishments-her very being-will captivate and inspire audiences from all walks of life! more
Jessica na kama vile Dada yetu Bahati Mzimano toka Tabora ambao walimua kwa makusudi kabisa kuondoa ktk misamihati yao maneno kama SIWEZI au HAIWEZEKANI na hatimaye kuweka HAKUNA LISILOWEZEKANA.
Sote twaweza kufanya na tena zaidi ya haya iwapo tu tutaamua kuondoa maneno hayo ktk misamiati yetu. zaidi hapa
interesting.
ReplyDeleteNi kweli kaka. Wengi tunatanguliza fikra za "haiwezekani" na kujikuta tuki-limit uwezo wetu wa kufanya vitu. Lakini ukweli ni kuwa Mungu hakuumbi pungufu, bali anakujazia zaidi sehemu nyingine kufidia sehemu ambayo haiko sawa na wengine. Ni wangapi wanaweza kurusha ndege wakifungwa mikono? Ni wangapi wanaweza kupoga simu na kujipodoa kama afanyavyo dada Bahati kwa kutumia miguu? Sidhani kama hawa wana mapungufu ya jumla, bali ni sehemu moja ama mbili na isha kuna namna ambayo Mungu amewabariki waweze kukabili changamoto ya huduma za kawaida za sehemu hizo.
ReplyDeleteAsante kwa changamoto hii. Nitaiweka barazani kwangu na wengine waione na wajifunze