Pages

April 20, 2009

Enzi hizo MARUFUKU KUONEKANA BANK

Enzi hizo za Mjukuu wa Burito ilikuwa marufuku kwa Range kupaki karibu na Benki kwa maana ilikuwa inaaminika kuwa mkoko huu ulikuwa wakimbia sana kupita gari zote, Je hii ni mpaka sasa au marufuku ilishafutwa?

2 comments:

  1. Hizo zilikuwa enzi za Sokoinne nini. Tumetoka mbali ati!

    ReplyDelete
  2. Amnini usiamini, hakuna ukweli katika hilo-hakukuwa na chapisho lolote lililosema hivyo. Ulianza kama uvumi, na inawezekana kabisa wahitimu wachache wasiokuwa makini toka Kilwa Rd ama Moshi waliendeleleza hilo zengwe. Logically, Polisi walikuwa wanatumia Peogeout 404 na Peogeout 504 (guruwe) ambazo zina enjini ndogo (1.6L) na silinda 4, ukilinganisha na Range Rover za miaka ya 70-80 ambazo ziliaverage 135HP kwa silinda sita mpaka nane. So in principal, 404 isingeishika, but in law, hakukuwa na sheria hiyo. Hii ni dhana tu, kama ya kifimbo cha mchonga

    ReplyDelete