Pages

February 24, 2009

MMEFURAHI?????????- Liyumba

Mtuhumiwa namba moja wa kesi ya BOT Amatus Liyumba ameibuka leo mahakamani Kisutu kinyume na taarifa kuwa alikuwa ametoweka.

1 comment:

  1. Anonymous5:55 PM GMT+3

    Huyu jamaaa anasema kuwa akutaka kutoroka,hata pale alipotowa hati ilo-expire, lakini wengine wanasema kuwa alikuwa kwa mganga wa kienyeji (si wamefungiwa hawa?) na kuwa ati aliileta ile pasi halali yeye mwenyewe mahakamani siku moja baada ya kuachiwa kwa kutoa hati ya kusafilia ilokwisha muda wake, na kuwa hakimu anasema walimuuliza kama ana ingine akakana mahakamani kata kata, hakimu anadai alienda idara ya uamiaji kuulizia ikiwa ana pass ingine ndipo kupata ukweli ivyo aliidanganya mahakama na kulazimisha kutoa hati ya kukamatwa tena, hati ambayo yadaiwa kutolewa tene siku moja baada ya kuachiwa pia.


    Maswali ni mengi lakini je lipi ni kweli hapa? Liyumba alipeleka lini pass halali?
    arrest warant ilitolewa lini?
    Lini mahakama ilijulishwa uwepo wa pass ingine ya AL???

    Mdau mkereketwa.

    ReplyDelete