Pages

February 24, 2009

Ki Moon akija Afrika, Dr Asha Rose YUKO ULAYA

Deputy Secretary-General Asha-Rose Migiro (centre) meets with Ingeborg Grässle (left), Member of the Budget Control Committee of the European Parliament; and Herbert Bösch, Chairman of the Budget Control Committee of the European Parliament. Wakti tunatarajia ugeni mkubwa wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw Ban Ki Moon wiki hii, Mama yetu na mpendwa wetu mwakilishi ktk chombo hiki kikubwa zaidi Ulimwenguni naye amekuwa bize uko Ulaya ktk kuweka mambo sawa ya kidunia. Tanzania inajivunia sana mama yetu huyu.

No comments:

Post a Comment