KATIKA hali ya isiyo ya kawaida, Waziri Mkuu Mizengo Pinda jana aliwaambia wananchi kuwa wanaoua watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) pamoja vikongwe ni hawana budi kuuawa kwa kuwa wakisubiri mahakama kuwahukumu, watakuwa wanakosea.
Waziri Pinda, ambaye ameanza ziara katika mikoa ya Kanda ya Ziwa yenye lengo la kuhamasisha vita dhidi ya mauaji ya vikongwe na albino, aliutaka Umoja wa Vijana wa CCM kuongoza vita hiyo, akisema lina jeshi zuri.
Mauaji ya albino yamekuwa ni tatizo kubwa nchini na hasa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Pages
▼
January 25, 2009
WAGANGA WA KIENYEJI WOTE WAFUTIWA LESENI...
Pinda ataka jino kwa jino
Ni jinsi gani mauaji haya ya ndugu zetu hawa yanapokukele hata kufikia kiongozi kutoa amri ambayo yaweza onekana kama kuruhusu kuchukua sheria mkononi, lakini ukweli ni kuwa inakela na inasikitisha sana kuona kadri inavyopigiwa kelele na viongozi wetu ndo kama wanachochea moto vile wauaji hawa kuendelea, inatia maudhi mno.
No comments:
Post a Comment