Pages

January 11, 2009

URAISI WAZEESHA?

Kuwa rais wa Marekani ni kazi ngumu. Wataalamu wanasema kuwa ukiwa rais unazeeka haraka, mara mbili kuliko mtu wa kawaida.

Kazi ipo. Yaani jamaa hata kuapa bado ndo keshazeeka namna hii kweli?

Kusoma habari zaidi na kuona picha za jinsi marais wa Marekani walivyozeeka wakiwa madarakani, BOFYA HAPA:

No comments:

Post a Comment