Pages

January 27, 2009

Liumba na Kweka wapanda kizimbani.

Amatus Liumba Deogratius Kweka. Watuhumiwa Amatus Liumba na Deo Kweka waliokuwa watumishi wa BOT wamepandishwa kizimbani kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia hasara serikali zaidi ya Bilioni 220 TZS na ushee. Wamepelekwa rumande baada ya kushindwa masharti ya dhamana ikiwapo kila mmoja kuweka dhamana ya bilioni 50 TZS.

1 comment:

  1. Anonymous2:49 AM GMT+3

    jamani huyo Liyumba si ndio walikuwa wasema anavirusi na alikuwa anasambaza kwa wakinadada kwa kuhonga magari mekundu? mbona kachoka sana, au ndo afya imekua na migogoro sikuizi?

    ReplyDelete