Pages

January 19, 2009

JK AVUKA MALENGO YA AJIRA!!

Ajira zipatazo Milioni 1.2 zimetengezwa katika kipindi cha miaka mitatu tu ya uongozi wa awamu ya nne. Malengo wakati wa kampeni ilikuwa ni ajira milioni moja kwa kipindi cha miaka mitano. Mchanganuo waonesha kuwa:-
  • Sekta isiyo ramsi asilimia 97%
  • Serikali kuu asilimia 6.7
  • na Mashirika ya Umma ni aslimia 0.1
TAKWIMU KWA MUJIBU WA WAZIRI HUSIKA MHE. PROF JUMA KAPUYA.
Habari ndo hiyo wadau.

No comments:

Post a Comment