YAPATA MWEZI MMOJA ULIOPITA NILITEMBELEA WEBSITE HII AMBAYO UWA
INATHAMINSHA WEBS MBALIMBALI NA KUZIPA THAMANI KULINGANA NA JINSI
ZINZVYOTEMBELEWA NIKAKUTA BP IKIWA NA THAMANI YA $1540 NA USHEE LEO HII
NIPOANGALIA NIKAKUTA IMEPANDA NA KUFIKIA $2284.9 NA WATEMBELEAJI WAMEONGEZEKA
MARADUFU PIA.
HIININI MAANA YAKE?
NI KUWA NINYI WADAU NDO MLIOIPANDISHA KUFIKIA HAPO NA NDO MNAOWEZA
KUIPAISHA ZAIDI IVYO NASEMA ASANTENI SANA WADAU KWA MSHIKAMANO TULIONYESHA MWAKA
JANA KUFIKIA HAPO, TUZIDI KUSHIRIKIANA ZAIDI KWA MWAKA HUU 2009, NAMI NAAHIDI
KUWA NITAZIDI KUIFANYA BORA ZAIDI ILI KILA UFUNGUAPO BASI UPATE BURUDANI, ELIMU
NA UFAHAMU NA ZAIDI UPATE KUJUZWA YANAYOJILI HAPA BONGO NA POPOTE
NITAKAPOKUWAPO.
ASANTENI SANA WADAU.
No comments:
Post a Comment