JANA USIKU JIJINI ILIKUWA NI USIKU WA MIOTO BAADAY MIOTO KUTOKEA SEHEMU MBALIMBALI IKIWAPO KIWANDA CHA BAKHRESSA ZAMANI NMC NA WIZARA YA UTALII NA MALIASILI NK.
PENGINE MOTO UTAVUTA HISIA ZA WENGI NI WA WIZARA HII AMBAO UMETEKETEZA OFISI YA WAZIRI NA HAPANSHAKA NYARAKA MUHIMU PIA ZITAKUWA ZIMETEKETEA.
VYANZO VYA MIOTO HIYO NA HASARA GANI IMEPATIKANA BADO HAVIJAJULIKANA.
1 comment:
Kazi Ipo!Mazimamoto yakishindwa kuzima moto katika ofisi ya waziri, kwetu ma hohehahe ndio basi tena:-(
Post a Comment