Daktari! ama no!!, Doctor ohh no!!! Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsabahi mtoto mwenye umri wa miaka minne Catherine Paul aliyelazwa katika taasisi ya MOI katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa moyo mapema wiki hii.Rais Kikwete alikwenda hospitalini hapo kupokea vifaa vya upasuaji mishipa na Ubongo vilivyo tolewa msaada na Kampuni ya Synthes Spine yenye makao yake makuu nchini Uswisi, kupitia hospitali ya Chuo Kikuu cha Weill Cornell kilichopo New York nchini Marekani.Vifaa hivyo vilikabidhiwa na Daktari Bingwa wa Uapsuaji Mishipa na Ubongo Dr.Roger Hartl.
No comments:
Post a Comment