Mbunge wa jimbo la Same Mashariki,Anne Kilango Malecela akiwa ameshika kondoo aliyekabidhiwa na wananchi wa jimbo hilo kwa ajili ya kumpongeza Rais Jakaya Kikwete kwa hatua alizochukua dhidi ya watuhumiwa wa ufisadi wa fedha katika Akaunti ya Madeni ya Nje ( EPA) ya Benki Kuu ya Tanzania. Kilango alikabidhiwa juzi kondoo huyo.
No comments:
Post a Comment