Waziri Mkuu wa Msumbiji Luisa Diogo akimvisha zawadi ya nguo aina ya kikoi Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali na kutembelea bustani yake.
Ni wageni wachache sana wanaomkumbuka Mama Maria hata kumtembelea, kwa Mama Maria au mama wa Taifa kuna mengi sana ya kujifunza budi tuwe twamtembelea jamani.
No comments:
Post a Comment