Pages

September 10, 2008

ULINZI KWA MAJAJI WASTAAFU VIPI?

Jaji Mstaafu Robert Kisanga akionyesha tundu ktk fensi ambalo wakola walitengeza ili kuingia kwa nia ya kuiba RAV 4 yake ambapo hata hivyo hawakufanikiwa kwa mzee wa watu alistuka na kuwakulupua. hii ni mara ya pili kwa Mhe Jaji kuvamiwa mara ya kwanza ilikuwa kwenye miaka ya tisini jamaa walikuja na siaraha lakini pia hawakufamikiwa kwani walidhibitiwa na askari polisi aliokuwa akimlinda. Majaji kwa kawaida uwa na ulinzi wa polisi wanapokuwa bado ofisini lakini mara baada ya kustaafu ni UTAJIJU au na Lwako, jee ni sawa? fikilia umesweka fisadi miaka 30 ndani na baada ya siku kadhaa unastaafu, je itakuwaje? patakalika hapo maana mafisadi twajua jinsi walivyo na vijisent vya kumwaga je si atawapa jamaa wakumalize?

No comments:

Post a Comment