Pages

September 10, 2008

Hofu "GHOROFA LIMEPINDA"

Leo hii ilikuwa ni kituko mtaa wa zanaki ambapo wakazi wa jiji walikusanyika ktk jengo moja la ghorofa 11 wakidai limepinda na kulalia lingine la ghorofa tatu jirani kabisa na jengo lililobomoka likiwa lajengwa hivi karibuni na kuua mmoja. wengine wanadai si kweli bali wamezidiwa na swaumu tu. tusubiri tuone.

No comments:

Post a Comment