
Mwalimu wa lugha wa Rosmini Seco akipokea komputa 2 toka kwa mkuu wa mkoa Bw Mohamed Abdulaziz baada ya kuibuka kidedea.

Mwanafunzi wa Seko ya St Christina Samira akipokea kitita baada ya kuibuka mshindi wa kujieleza kwa ung'eng'e, kati ni meneja mutoto wa tigo Rweyemamu.
No comments:
Post a Comment