
SAMAKI MKUBWA ANAYEDHANIWA KUWA NI NYANGUMI WENGINE WAKIMWITA DOLPHIN NA ANAYEDHANIWA KUWA NA UZITO USIOPUNGUA KILO 3,000 AMELETWA NA MAJI USIKU WA KUAMKIA JANA AKIWA AMEKUFA ENEO LA JANGWANI.
WAKAZI WA ENEO HILO WAMEKUWA WAKIJITWALIA MAPANDE YA SAMAKI HUYO KWA AJILI YA KITOWEO BILA KUJALI KA AWEZA KUWA NA MADHALA GANI,
WALIOWAHI ENEO HILO AU KUPATA HABARI HII WALIGOMBEA MNYAMA HUYO HADI WAKAMWACHA YAANI WAMESHINDWA KUMMALIZA IMEBIDI UONGOZI WA HOTELI JIRANI NA TUKIO YA GIRRAFE KUCHUKUA UAMUZI WA KUMZIKA PAPO HAPO KWA KUSHINDWA NAMNA YA KUMWONDOA HAPO.
No comments:
Post a Comment