
HAPA NI KITUO CHA KAWE NA CHINI NI KITUO CHA MAKAO MAKUU YA TANESCO ZAMANI SASA NI WIZARA YA MADINI NA NISHATI.

WATUMIAJI WA UMEME WA LUKU TOKA TANESCO KWA MUDA WA ZAIDI YA SIKU ZIPATAZO TATU WAMESHINDWA KUPATA HUDUMA HII TOKANA NI KILE KINACHOELEZWA KUWA NI MATATIZO YA MTANDAO AU NETWORK.
No comments:
Post a Comment