Pages

August 6, 2008

PASCAL YUKO MOI

PASCAL MAYALA AMEHAMISHIWA HOSPITALI YA MUHIMBILI KULE MOI, PASCAL ALIPATA AJARI YA PIKIPIKI SIKU YA JUMAPILI HUKO DODOMA ALIPOENDA KULETA YANAYOJIRI KTK NANENANE. KWANIABA YA WADAU WOTE WA GLOBU HII TWASEMA GET WELL SOON.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment