Pages

August 6, 2008

KARIBU KATIKA FANI JK

WATU (VIONGOZI) WENGI UFIKILI SANA BAADA YA KUSTAAFU WATAFANYA NINI NA HASWA WALIOKATIKA MKATABA KAMA JK, JK ORIGINO ALIAMUA KUWA MKULIMA BAADA YA KULITUMIKIA TAIFA ILI KWA KIPINDI KIREFU SANA, WENGINE WANAANZISHA NGOs NA WENGINE UENDA HAYA NDO MAZOEZI KUWA MARA UPANGAJI PALE MAGOGONI UTAKAPO KOMA BASI ATAKUWA PAPARAZI. KWA SI TULIO KWENYE FANI TWASEMA KARIBU SANA MHE.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment